Description
MAELEZO MAHALI: TEMEKE MIKOROSHINI 1. Ni nyumba ya kizamani 2. Ina Dining, Sitting room, Vyumba sita, Choo Kawaida, Iko barabarani, haina tiles. 3. Ina wapangaji wenye kulipa elfu 30 kwa mwezi 4. Ukubwa wa Kiwanja: 1000sqm+ 5. Umiliki: Leseni ya makazi GHARAMA ZA KUPELEKWA SITE ELFU 20