Description
Nyumba inauzwa ipo segerea mwisho mtaa wa meja Ina vyumba 4 vya kulala sebule jiko dinning room choo bafu vya public Ina maji masaa yote ukubwa wa plot ni SQM 750 bei ni tsh mil 130 maongezi *BS REAL ESTATE AND CONSULTANCY* https://youtu.be/RnHlxBuzlIw