Description
Nyumba inauzwa ipo sala sala milioni 270 maongezi yapo inavyumba vinne viwili master bedroom juu vitatu chini kimoja sitting room dining room kitchen store toilet pablic ukubwa wa eneo ni SQMT 1400 document TITLE DEED maji dawasco umeme vyote vipo