Description
Nyumba ina uzwa ina. Vyumba 3 chumba kimoja masta seble sehem ya kulia chakula ina jiko choo cha pablec ina frem 1 nyumba ipo mbagara saku ilulu shule ya sekondali ina sqm 400 inauzwa milioni 17 tu maongezi yapo nicheki whatsap 0623773503