Description
NYUMBA INAUZWA NA #BANK #MASASI MJINI (Tsh 45M) Nyumba ipo Masasi Mjini Ex- Jida, Mtaa wa Pili kutoka Lami. ina Appartments Tano ambazo zina Chumba Sebule Mara Tano na Single Moja. Nyumba Ina Hati na ukubwa wa 490 square meter Bei ni Tsh 45 ml, Maongezi Yapo