Details
Description
Hii nyumba inauzwa na Bank. INA LESENI YA MAKAZI. Ipo KIPAWA/AIRPORT. Mita 200 kutoka Barabara ya Nyerere. INAHITAJI MABORESHO MADOGO NDANI ________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ________mpg Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.