Details
Description
Nyumba inauzwa Mwenge DSM Nyumba ipo kiwanja cha 2 kutoka lami Eneo ni lakibiashara ukubwa QMT 505 Nyumba imepangishwa kama ofisi kwa sasa Eneo linafaa kwa makazi kujenga Yad & Apartment pia inafaa kama nyumba ya kuishi Title deed ipo Bei milion 800000000 mawasiliano piga WhatsApp 0715352497/0755352497