Description
NYUMBA INAUZWA IPO MKUNDI SHELI(kiegea A) MOROGORO MJININYUMBA IPO KWENYE ENEO LILOPIMWA NA LINA UKUBWA WA SQUARE METER 2600NYUMBA IPO KARIBU NA HOSPITALI YA WILAYA NYUMBA IPO KARIBU NA BOMBA LA MAJINYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI MASTER, SEBULE, JIKO, STORE NA PUBLIC TOILETNYUMBA IPO KILOMETER MOJA KUTOKA BARABARA YA KWENDA DODOMABEI NI MILIONI AROBAINI NA TANO(45, 000, 000)SIMU:0752481398