Description
NYUMBA INAUZWA MKUNDI BANANA MOROGORO NYUMBA IPO ENEO LA MKUNDI BANANA NYUMBA INA VYUMBA VINNE VYA KULALA, SEBULE, JIKO, STORE NA PUBLIC TOILET. NYUMBA IPO KWENYE KIWANJA CHENYE UKUBWA WA 25 KWA 40 NYUMBA IPO JIRANI NA HUDUMA ZA JAMII NYUMBA IPO METER 350 KUTOKA BARABARA YA KWENDA DODOMA BEI NI MILIONI ISHIRI NA SITA(26, 000, 000) SIMU:0714444838/0752481398