18.12.2021Tanzania

Nyumba Inauzwa Mkundi Morogoro Mjini

TZS 50 000 000

Description

NYUMBA INAUZWA IPO MKUNDI MOROGORO MJINI>>>NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI MASTER, SEBULE YENYE DINING NA SITTING, JIKO, STORE NA PUBLIC TOILET PIA INA SEHEMU YA KULAZA GARI.>>>NYUMBA IPO MKONO WA KUSHOTO KAMA UNAENDA DODOMA>>> NYUMBA IPO METER 500 KUTOKA BARABARA YA KWENDA DODOMA.>>>NYUMBA IPO KWENYE KIWANJA CHENYE UKUBWA WA 25 KWA 30BEI YAKE NI MILIONI HAMSINI(50, 000, 000)>>>KWA MAWASILIANO ZAIDI0752481398/0714444838

Mwalimu F. Y. M.

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Location