18.04.2022Tanzania, Tanzania

NYUMBA INAUZWA MILIONI 25

TZS 25 000 000

Description

Ipo mbagala chamanz kwa dumba jijini DAR ES SALAAM TANZANIA ina vyumba vitano vya kulala kimoja master bedroom ina sitting room na jiko na public toilet pamoja na maji na umeme eneo square meter 350 Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa nyumba nzuri sana ina uzwa tsh mil ishilini na tano tu

OURDALALI R. E. L.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Tanzania