Description
Nyumba ipo mbezi malamba msigani nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dina na seeting room kubwa ina uwanja wa kutosha kupaki magari yako bei ni milioni milioni 55 maongezi yapo gharama ya kuona nyumba ni shilingi elfu 20 kwa maelezo zaidi tupigie simu 0653204486 au 0687034948