18.01.2022Tanzania, Dar Es Salaam

NYUMBA INAUZWA MBEZI MWISHO

TZS 95 000 000

Description

Nyumba inauzwa milioni 95 maongezi yapo Nyumba ipo madale wazo hili Nyumba inavyumba vitatu kimoja master bedroom sitting room dining room kitchen store toilet pablic ukubwa wa eneo ni SQMT 679 document TITLE DEED maji dawasco umeme vyote vipo umbali kilomita 1.5 kutoka lami ya kwenda madale mwisho

Noordin

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam