15.10.2021Tanzania, Dar Es Salaam

Nyumba inauzwa mbezi beach

TZS 120 000 000

Description

Hiyo nyumba ipo mbezi beach salasala -Ina Vyumba 3. -Vyumba 2 ni masta. -Ina dining. -Ina jiko. -choo cha public. -Eneo lake sqm 600. -Ina hati miliki na ni kali sana yaani imenyooka. ID:DOTTO Kwa maelezo zaidi Tembelea tovuti yetu https://brbuyandsell.co.tz

Brrealestate

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam