Description
Nyumba inavyumba vitatu master bedroom sitting room dining room kitchen store toilet pablic pia ina servant cotter ya vyumba viwili zote ni gorofa swimming pool ipo pia ukubwa wa eneo ni SQMT 1200 document clean TITLE DEED// services charge ya kuona nyumba ni elfu 30000/=