Description
House for sale (Nyumba inauzwa) Kubwa ya kifamilia Location:- MBEZI BEACH JOGOO Asking price:- Tsh Million 90 Plot size:- SQMT 1000 UMILIKI LESENI YA Muundo wa Nyumba:- 1.Ina Vyumba vitano (5)vikubwa vya kulala 2.Vyote ni self contained (Master) 3.Sebule kubwa nzuri 4.Jiko zuri la kisasa la makabati 5.Public toilet and Bathroom (Bafu na Choo cha ndani) 6.Private Electricity Meter (Luku yako) 7.Dawasco water supply (Maji ya bomba yapo) 8.Parking Space kubwa 9.Paving block 10.Fenced Service charge Elfu 50