Description
MAELEZO MAHALI: Mbagala Zakhiem (Karibu na Tanesco) 1. Ukubwa wa kiwanja: 1500sqm 2. Nyumba ilijengwa kwa dhumuni la kupangisha hivyo kuna nyumba kubwa na nyumba ya uwani; Nyumba kubwa ina vyumba 9 (1 master) na Uwani ina vyumba 8 3. Wapangaji wa nyumba kubwa wanalipa elfu 40 na wa Uwani elfu 30 4. Document ya Umiliki: Offer (Leseni ya Makazi) 5. Nyumba iko barabara ya mtaa 6. Umbali toka Kilwa Road: 1.5km 7. Inafaa kwa Makazi au Biashara Nb: Sehemu Kubwa ya Zakhiem ni Industrial Zone