07.09.2021Tanzania, Dar Es Salaam

NYUMBA INAUZWA MAKUMBUSHO

TZS 300 000 000

Description

Nyumba inauzwa ipo makumbusho mtaa akachube Ina vyumba 3 vya kulala kimoja ni master bedroom sebule jiko dinning room choo bafu vya public ukubwa wa kiwanja SQM 400 .Bei ni tsh mil 300

Noordin

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam