Description
??NYUMBA INAUZWA MAKONGO Nyumba ina Ghorofa Moja Nyumba ina Vyumba 6 vya kulala -Vyumba Vitano (5) ni master bedroom -Vyumba vitatu(3) vina balcony Ina sebule kubwa na yenye Nafasi ya kutosha. Kuna dining kubwa ya kutosha Kuna umeme na maji Nyumba ina ukubwa wa 1800 sqm Bei ni 300M