Description
NYUMBA YA KISASA TENA MPYA INAUZWA MWANZA MAHINA KATI MTAA WA MAJENGO MAPYA KWA TSHG MIL 55,000,000/= INA HATTI MILIKI SAFI UKUBWA WA ENEO SQM 500 INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA JIRANI SANA