19.08.2024Dar es Salaam

NYUMBA INAUZWA MAGOMENI

TZS 285 000 000

Details

Terms
6 Months in advance
Square units
4 acreas

Description

NYUMA INAUZWA MAGOMENI MWEMBECHAI ZIPO NYUMBA 3 KWENYE ENEO MOJA NA NYUMBA ZOTE ZA KISASA SANA NYUMBA INA HATI NYUMBA KUBWA UPANDE ANAKAA MWENYE NYUMBA DADA NA UPANDE MWINGINE AMBAO UMETENGANISHWA NA FENSI ANAKAA MPANGAJI MWARABU ANALIPA LAKI 4 KWA MWEZI NA KUNA VYUMBA VYA INJE VINAVYO JITEGEMEA VIPO NDANI YA FENSI PIA NYUMBA INA KISIMA KIKUBWA CHA KUIFADHIA MAJI NA MATANKI NDANI YA FENSI YANAPAKI MAGARI HATA MATANO BEI MILLION 285 DADA ANA SHIDA YA HARAKA 0699897858 0713640305

EMMANUEL E. K.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam