29.11.2021Tanzania

nyumba inauzwa madale

TZS 220 000 000

Description

nyumba inauzwa madale bei ya kutupwa nyumba ni gorofa ina vyumba vinne uwanja sqm 780 ina hati miliki ya miaka 99 njoo uokote nyumba sikudanganyi ukiwa na miambili ishirini chenji inarudi

John B.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location