Description
NYUMBA INAUZWA MAHALI: MADALE KONTENA 1. Nyumba mpya yenye vyumba 3 (2 masters), parking, choo cha kawaida, sebule, dinning, mazingira safi na poa, ya kisasa n.k 2. Ukubwa wa Kiwanja: 800 sqm 3. Umiliki: Hati 4. Gharama za Kupelekwa Site Elfu 20