Description
Nyumba IPO Gongolamboto MSALABA Mwekundu IPO KARIBU na lami kituo cha Relini. Nyumba Ina sqm 17*19 Nyumba IPO powa haina Deni lolote IPO Salama Inavyumba vitatu vya kulala kimoja master Dinning ✔️ Public toilet ✔️ Parking Gari moja ✔️ Maji✔️ UMEME✔️ Ukilipa unahamia kabisa Service charge ✔️ =20,000Tsh.