Description
Nyumba IPO Gongolamboto MSALABA Mwekundu IPO KARIBU NA Relini Karibu na Lami kituo Cha Relini Nyumba Ina sqm 26*38 IPO KARIBU na Barabara ya MSALABA Mwekundu Nyumba IPO kamili haina mgogoro wowote wala Haina Madeni Bei Ni million 25 =25,000,000Tsh.