Description
Nyumba inauzwa bei million 20 maongezi yapo... ina rooms tatu moja master bedroom. Sitting na dinning room...jiko, stoo na public toilet.Ina wirring na plumbing stage ya Kwanza.Ina madirisha ya nondo na milango.Imechimbwa shimo la choo limefunikwa.kubwa wa eneo ni mita 18 kwa 15Ipo kinyerezi 07633122050788459895Haina udalali