05.09.2021Tanzania, Dar Es Salaam

NYUMBA INAUZWA KIMARA

TZS 150 000 000

Description

Hii nyumba ipo kimara stop over Ina kiwanja square meter zaidi ya 1000 nyumba nzur saana ina hati miliki kabisaa Nyumba hii Ina room 5 master bedroom 3 room kawaida 2 Ina stoo Ina sebule kubwa jiko kubwa Ina laibray Ina Ina paking ya chin kubwa Garden Safi Sana Ina tailiz qpysum Safi fen maji ndani umeme wako Safi Ina uzwa tsh milion 150 mazungumzo yapo kwa mtu aliye silias nyumba hii huwez iiacha kabisaaaaaaa Stop over dakika 6 upo home kwako karibu saana.

Noordin

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam