Description
NYUMBA INA UZWA IPO KIMARA MWISHO KM2.5 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI 500/= UKISHUKA UPO KWAKO UKUBWA WA ENEO SQMT 400 BEI MILIONI 35 VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM SEBLE KUBWA JIKO PUBLIC TOILET MAJI YAPO UMEME UPO TILES SLIDE WINDOW