Details
Description
NYUMBA ZINAIZWA ZIPO TATU NDANI YA FENSI NA ZIPO KATIKA HALI NZURI NYUMBA MBILI ZINA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA KATI YA HIVYO NI MASTER, SEBULE, JIKO NA STORE NA NYUMBA YA TATU INA CHUMBA MADTER NA SEBULE NA JIKO. KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI UKUBWA WA KIWANJA NI SQUARE METER 1240 NYUMZA ZIPO JIRANI NA STATION YA TREIN YA MWENDO KASI NYUMBA ZIPO KARIBU NA HUDUMA ZA JAMII BEI NI MILIONI MIA NA THEMANINI(180, 000, 000) SIMU:0714444838/0752481398