Description
NYUMBA INAUZWA IPO KIHONDA KWA MWARABU MOROGORO NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI MASTER, SEBULE, JIKO NA STORENYUMBA IPO JIRANI NA HUDUMA ZA JAMIIKIWANJA KINA UKUBWA WA 25 KWA 20BEI NI MILIONI AROBAINI(40,000, 000)SIMU:0752481398/0714444838