18.12.2021Tanzania

Nyumba Inauzwa Kihonda Azimio Morogoro

TZS 36 000 000

Description

NYUMBA INAUZWA IPO KIHONDA AZIMIO MOROGORO MJINI>>> NYUMBA INAUZWA IPO ENEO LA AZIMIO KILOLO>>>NYUMBA NI MPYA NA IPO KWENYE BARABARA YA MTAA>>>NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA, SEBULE, JIKO NA PUBLIC TOILET.>>>NYUMBA IPO KWENYE KIWANJA CHENYE UKUBWA WA 25 KWA 25.>>>BEI NI MILIONI THELATHINI NA SITA(36, 000, 000)KWA MAELEZO ZAIDI0752481398/0714444838

Mwalimu F. Y. M.

Member since 2019.
xxx xxx xxx xxx

User

Location