Description
Nyumba ni ya kisasa kabisa ina vyumba vinne vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dina na seeting room kubwa na stoo kwa nje ina uwanja wa kutosha kupaki magari yako bei ni milioni 170 maongezi yapo nyumba ina umeme na maji yapo na ukubwa wa eneo ni square mita 1000 au robo eka na sio mbali kutoka barabara kuu ya lami kwa maelezo zaidi tupigie simu 0653204486 au 0687034948