Description
Nyumba ipo Kigamboni toangoma ni nyumba ya kisasa kabisa ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dina na seeting room kubwa ina uwanja wa kutosha kupaki magari yako pia ina fremu tatu za biashara ila hazijaezekwa bado nyumba ina umeme na maji yapo kwa maelezo zaidi tupigie simu 0653204486 au 0687034948