Description
Nyumba inauzwa ipo tegeta A kwa bedui nyumba ni ya vyumba v4 Kati ya hivyo chumba kimoja ni master bedroom eneo sqm 600 bei mil 50 maongezi yapo nyumba Ina sebule jiko daining kutoka kituo Cha daladala miter 100 kiwanja kimepimwa bado hati karibu https://youtu.be/RnHlxBuzlIw