Description
Nyumba inavyumba vitatu vyumba viwili ni self contained sitting room dining room kitchen store toilet pablic maji dawasco umeme vyote vipo ukubwa wa eneo ni SQMT 600 document clean TITLE DEED (Hati miliki) umbali kutoka barabara kuu ya lami ni mita 400 tu hadi kwenye nyumba barabara safi inayopitika vyema na magari ya aina zote