22.06.2022Dar es Salaam

Nyumba inauzwa ipo Sala Sala

TZS 80 000 000

Details

Terms
Yearly in advance
Price per square unit
No
Square units
700 acreas

Description

nyumba inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet eneo lake ni sqm 700 documents Hati ya mauziano serikali za mtaa, nyumba ipo Kilometer 1 na nusu kutoka bagamoyo road, njoo ukague tufanye biashara mwenyewe kakwama sana bei milioni 80 maongezi yapo

Juma s.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam