Description
Inavyumba vitatu master bedroom sitting room dining room kitchen store toilet pablic ukubwa wa eneo ni SQMT 1096 document hati ya mauziano ya selikali ya mtaa eneo limelasimishwa na kupandwa mawe maji dawasco umeme vyote vipo,umbali ni mita 800 tu kutoka barabara ya lami ya sala sala.