12.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

nyumba inauzwa ipo msongola

TZS 33 000 000

Description

nyumba inauzwa ipo msongola jiji la ilala dsm nyumba ya vyumba 3 vya kulala daingiroom stingiroom master bedroom kicheni public toilet nyumba umeme upo maji yapo nyumba ukubwa wa eneo ni SQMT 400 nyumba aipo mbali na Barbara ya rami km dk chache nyumba mpya nyumba bei ml 33

Dalali K.

Member since 2016.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam