12.06.2022Tanzania, Dar Es Salaam

NYUMBA INAUZWA IPO MSONGOLA WILAYA YA ILALA DSM

TZS 33 000 000

Description

NYUMBA INAVYUMBA VI3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA MASTER, INA SETTING ROOM, DINING ROOM, KITCHEN, STORE, PUBLIC TOILET, ENEO LAKE NI SQM 400 NYUMBA HAIPO MBALI NA BARABARA KUBWA, DOCUMENTS HATI YA MAUZIANO SERIKALI ZA MTAA NJOO UKAGUE GARAMA YA KUPELEKWA SAITI NI ELFU 20,000/= BEI YA NYUMBA NI MIL33 MAONGEZI YAPO

Mpanga

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam