Description
nyumba inauzwa ipo msongola Santiago wiraya ya ilala mkoa wa dsm nyumba ya vyumba 3 vya kulala daingiroom stingiroom master bedroom kicheni public toilet nyumba umeme upo maji yapo nyumba ukubwa wa eneo ni SQMT 600 document hati ya mauziano ya selikali ya mtaa bei ml 58 nyumba aipo mbali na Barbara ya rami km dk chache nyumba mpya nyumba ina fremu chumba 2