Description
NYUMBA INAUZWA IPO MKUNDI SHELI MOROGORO MJININYUMBA INAUZWA IPO ENEO LA MKUNDI NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI MASTER, SEBULE NA PUBLIC TOILET.NYUMBA IPO KWENYE KIWANJA CHENYE UKUBWA WA 15 KWA 20.IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA DODOMAIPO METER 500 KUTOKA BARABARA YA KWENDA DODOMABEI MILIONI ISHIRINI NA TANO (25, 000, 000)KWA MAWASILIANO ZAIDI0752481398/0714444838