Description
NYUMBA INAUZWA IPO MKUNDI KWA CHAULA MOROGORO MJININYUMBA NI MPYA NA IPO KATIKA KIWANJA KILICHOPIMWANYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA NI MASTER, SEBULE, JIKO, STORE NA PUBLIC TOILETNYUMBA IPO KILOMETER MOJA KUTOKA BARABARA YA KWENDA DODOMANYUMBA IPO MKONO WA KULIA KAMA UNAENDA DODOMANYUMBA IPO SEHEMU YENYE UTULIVUBEI YA NYUMBA NI MILIONI THELATHINI(30, 000, 000)KWA MAELEZO ZAIDI0714444838/0752481398