Description
Nyumba inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet eneo lake ni mita 25 kwa 25 documents Hati miliki ipo, njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti kuona ni elfu 30,000/=