Description
nyumba Inauzwa ipo mbagala chamanzi dovyo ina vyumba vitatu vyumba viwili ni master inaeneo kubwa sana ya paking nyumba ipo kwenye Fensi mteja pg sm 0672747232 whatsappy 0672747232 kama na wewe ni dalali pia unaweza kuleta mteja tukafanya biashala