Description
Nyumba inavyumba vi4 vya kulala,Ina dinning room, setting room kitchen store public toilet nyumba Ina Air-condition, kisima cha maji baridi maji baridi namaanisha sio maji ya chumvi, njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti ni elfu 20,000/=