29.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi

TZS 130 000 000

Description

nyumba inauzwa za kupqgisha nyumba vyumba 10 inakaa family tano kila family ina jitengemea kama maji umeme upo maji nyumba aipo mbali na Barbara ya rami km dk chache nyumba mpya kabisa nyumba bei ml 130

Dalali K.

Member since 2016.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam