14.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi

TZS 130 000 000

Description

nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi nyumba ya vyumba 4 vya kulala daingiroom stingiroom nyumba umeme bado nyumba mpya nyumba ukubwa wa eneo ni SQMT 700 nyumba hati yake ya mauziano ya selikali ya mtaa bei ml 130

Dalali K.

Member since 2016.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam