Description
Nyumba Ina Hati Miliki, nyumba inavyumba vi4 vya kulala vyumba vi2 master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet eneo lake ni sqm elfu 1000 documents Hati miliki ipo, njoo ukague garama za kupelekwa saiti ni elfu 20,000/=