Description
Nyumba inavyumba vi4 vya kulala vyumba vi3 master, bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet eneo lake ni sqm 850 documents Hati ya mauziano serikali za mtaa, nyumba ipo vizuri maji yapo umeme upo, njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti kuona ni elfu 20,000/=