21.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

nyumba inauzwa ipo kitunda kivure

TZS 37 000 000

Description

nyumba inauzwa ipo kitunda kivure nyumba ya vyumba 3 vya kulala daingiroom stingiroom stoo kicheni master toilet public nyumba mpya nyumba ukubwa wa eneo ni SQMT 400 nyumba ipo vinzuri nyumba hati yake ya mauziano ya selikali ya mtaa nyumba umeme karipia maji yapo nyumba ina fremu chumba 1 nyumba ina kisevetikota cha vyumba 2 nyumba ipo vinzuri

Dalali K.

Member since 2016.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam